Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati wakiimba Wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM muda mfupi kabla ya kuanza kuongoza kikao hicho leo tarehe 28 Novemba, 2020 jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama mara baada ya kufunga kikao hicho cha Kamati Kuu leo tarehe 28 jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Dodoma leo tarehe 28 jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wakitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dodoma leo tarehe 28 Novemba 2020.