RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat Dar es Salaam Sheikh.Tayabali Hamza Bhai Patanwalla, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na kumpongeza,hafla hiyo imefanyika leo 23/11/2020 na kulia Ndg.Murtaza Ali Bhai
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat Dar es Dalaam Sheikh Tayabali Hamza Bhai Patanwalla wakimsikiliza Ndg.Murtaza Ali Bhai akiwasilisha taarifa ya kumpongeza wakati walipofika IKulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 23/11/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa hati ya kumpongeza na Viongozi wa Bohra Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat Dar es Salaam Sheikh. Tayabali Hamza Bhai Patanwalla akiwa na Mwakilishi wa Dawoodi Bohra Jamaat Zanzibar Sheikh.Muffadal Imadi,hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.23/11/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Dawoodi Bohra Jamaat Dar es Salaam Sheikh Tayabali Hamza Bhai Patanwalla (kulia kwa Rais) na Ndg.Murtza Ali Bhai na Ndg. Nuruddin Bhai Katibu wa Jumuiya hiyo Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 23/11/2020..
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Jamaat, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 23/11/2020 kwa mazungumzo na kumpongeza,(kushoto kwa Rais) Ndg. Javed Jafferji ,Sheikh.Habibulla N.Jivajee na Sheikh. Muffadal Imad.
.(Picha na Ikulu