Kinda wa miaka 20, Mnorway Erling Haaland akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao manne dakika za 47, 49, 62 na 79 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya wenyeji, Hertha Berlin kwenye mchezo wa Bundesliga jana Uwanja wa Olympia Jijini Berlin. Bao lingine la Borussia Dortmund lilifungwa na Raphael Guerreiro dakika ya 70, wakati ya Hertha Berlin yalifungwa na Matheus Cunha dakika ya 33 na Matheus Cunha kwa penalti dakika ya 79 PICHA ZAIDI SOMA HAPA