Wabunge wakitoka kwenye Ukumbi wa Bunge Novemba 20,2020, baada ya Spika Job Ndugai kuahirisha Bunge hadi Februari 2, 2021. Bunge la 12 lililofunguliwa na Rais John Magufuli lilifanya vikao mbalimbali ikiwemo kumchagua Spika, kuwaapisha wabunge, kumchagua Naibu Spika, kumthibitisha Waziri Mkuu pamoja na semina mbalimbali za kuwapiga msasa wabunge kuhusu kanuni na taratibu za bunge. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA