RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuap[isha Waziri wa Habari Vijana
Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Mwita Maulid akiapishwa katika hafla
hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati)
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid
Yahya Mzee (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Maji na Nishati
Mhe.Suleiman Masoud Makame, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale
Mhe. Lela Mohammed Mussa, wakati wa hafla hiyo ya kuapishwa iliofanyika
katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (katikati) Katibu wa Baraza
la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Kilimo Umwagiliaji
Maliasili na Mifugo Mhe. Dkt. Soud Nahoda Hassan, hafla hiyo ya
kuapishwa imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Z(katikati) Katibu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya
Mzee anzibar.(Picha na Ikulu)