Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwashukuru wabunge waliomthibitisha kwa kishindo kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kupata kura zote 350 katika uchaguzi uliofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma.
Upigaji Kura ukiendelea….
Picha na Daudi Manongi MAELEZO