Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda mfupi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuapishwa katika sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Novemba 05 2020.