Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Paje katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Paje wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Shule ya sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Msanii wa Bongo Flavour Zuhura Othman Zuchu akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chanma cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 19,2020 katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)