Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akipokea kadi za vyama mbalimbali vya upinzani kutoka kwa wanachama 200 wa vyama hivyo wa Mjini Kigoma walioamua kuvihama na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni wa kumuombea kura mgombea urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM kwenye uwanja wa Mwanga Centre mjini Kigoma
Mjumbe wa kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akionyesha kadi za vyama vya upinzani zilizokabidhiwa kwake na wanachama 200 wa vyama hivyo waliohamia CCM katika mkutano wa kampeni wa kumuombea kura mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM kwenye uwanja wa Mwanga Centre mjini Kigoma, Oktoba 18, 2020. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Emandus Nzamba.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akionesha kadi za vyama vya upinzani zilizokabidhiwa kwake na wanachama 200 wa vyama hivyo waliohamia CCM katika mkutano wa kampeni wa kumuombea kura mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM kwenye uwanja wa Mwanga Centre mjini Kigoma,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwaomba wananchi wa Kigoma wampigie kura mgombea urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwanga Centre mjini Kigoma
Mke wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mama Mary Majaliwa akimwombea kura mgombea urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kigoma Mjini, Shaban Kilumbe Ng’enda (kushoto) na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mwanga Centre, Oktoba 18, 2020.