Ratiba ya Kumuaga Marehemu Gosbert Mutagaywa Tarehe 17 Oktoba 2020.
1. Mwili wa Marehemu kuwasili nyumbani (Dr. Nshala) Ununio••••••• saa 5 asubuhi.
2.Chakula Cha Mchana (wote) •••••••saa 6:30 hadi saa 8 mchana.
3. Kuelekea kanisani (Mt. Yohane Paulo II- Ununio) ••••••• Saa 8:15- 8:30
4. Misa ••••••• Saa 9 – 10:30
5. Salamu za vikundi mbalimbali •••••••Saa 10:30-10:50
6. Shukurani •••••••Saa 10:50-10:55
7. Kupeleka Mwili wa Marehemu Mochwari ••••••• Saa 11
8.Mwili utasafirishwa Jumatatu na mazishi yatafanyika Jumanne kijijini Muhutwe mkoani Kagera.