Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Dkt. Abdulsalaam Omary akielezea mambo mbalimbali wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika mahojiano yaliyofanyika kwenye banda la maonesho la WCF viwanja vya JK Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam jana.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Sebera Fulgence akimkaribisha Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Dkt. Abdulsalaam Omary ili kuzungumza na waandishi wa habari katika banda hilo jana.
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Dkt. Abdulsalaam Omary akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa wanahabari.
Baadhi ya wananchi wakipata maelezo katika banda la Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF) kwenye maonesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Sebera Fulgenceakitoa maelezo kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano WCF, Bi. Laura Kunenge akifanya maojiano na mwandishi Albert Kilala kutoka Kituo chaluninga cha Chanel Ten.