RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara
za Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo
iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM leo.8/10/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa
Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”
Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)
MAOFISA wa Idara za SMZ Zanzibar wakifishana Vyeo baada ya
kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kumal;iza
mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama
Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)
MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo
baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla
hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya
Magharibi “A”Unguja.(Picha na Ikulu)