Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy
Chakwera wakiwasili kuweka jiwe la msingi eneo Mbezi Luis jijini Dar
es salaam ambako mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi
yaendayo mikoani na nchi jirani unatekelezwa leo Alhamisi Oktoba 8,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakifunua bendera za mataifa ya Kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakiwa wamesimama jukwaa kuu Mara baada ya kuwasili kwenye mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam kw aajiki ya uwekaji wa jiwe la msingi leusiku wa Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakipongezana Mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakisoma maelezo yaliyoko kwenye jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakitembelea mradi huo uliowekwa jiwe la msingi na viongozi hao leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakifurahia Mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy
Chakwera na wake zao, Mama Monica Chakwera na Mama Janeth Magufuli,
wakipata maelezo juu ya mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha
mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis jijini Dar
es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wazri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi Mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi huo katikati ni Mama Janeth Magufuli na kutoka kulia ni Abukakary Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi baadhi ya mawaziri leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakikagua mradi huo Mara baada ya kuweka leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Michoro mbalimbali ikionesha jinsi jengo hilo litakavyokuwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwenye mradi wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi ya mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.
Maelfu ya wnanchi waliofika kushuhudia Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Malawi Dkt.
Lazarus McCarthy Chakwera wakiweka jiwe la msingi la mradi wa Ujenzi
wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo
Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera Akizungumza akabla ya kuweka jiwe la msingi kwenye mradi kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani Mbezi jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.