Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Igunga Mjini alipokuwa akielekea Wilayani Nzega kuanza ziara ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Tabora leo Octoba 03,2020.