Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Msange Singida Kaskazini alipowasili katika uwanja wa Msange Singida Kaskazini kwa ajili ya kuanza ziara ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Singida leo
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Msange Singida Kaskazini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Msange leo
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Msange Singida Kaskazini baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Msange Singida Kaskazini leo
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25 Mbunge mteule wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Ramadhan Ihondo kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 01,2020 katika Uwanja wa Msange Singida Kaskazin. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)