Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange,
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba George Ruhoro, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika viwanja vya Rulenge Stendi, wilayani Ngara. Septemba 30, 2020. Katikati ni Diwani wa Kata ya Rulenge, John Fabian.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange,
Mwananchi wa Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe, akifurahia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika katika kitongoji cha Nyange, Septemba 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)