Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maelfu ya Wananchi wa Mbeya mjini katika Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo tarehe 30 Septemba 2020 katika uwanja wa Airport mkoani Mbeya
Sehemu ya Wananchi wa Mbeya wakiwa wamefurika katika viwanja vya Airport mjini Mbeya kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia leo 30 Septemba 2020