********************************
NA EMMANUEL MBATILO
Beki kisiki wa klabu ya Yanga amefanikiwa kusaini mkataba mpya ndani ya klabu hiyo na kuweza kusalia mpaka mwaka 2023.
Beki hiyo ambaye kwa mechi za mwanzo wa ligi kuu in ayoendelea amefanikiwa kuisaidia klabu hiyo kufanikiwa kuondoka na pointi sita muhimu.