Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiomba kura kwa wananchi wa Eneo la Igawa wilayani Mbarali baada ya kuingia mkoani Mbeya Leo Septemba 29,2020 akiwa njiani kuelekea Mjini Mbeya.PICHA NA JOHN BUKUKU -IGAWA MBARALI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aksisitiza Jambo wakati alipoomba kura kwa wananchi wa Eneo la Igawa wilayani Mbarali baada ya kuingia mkoani Mbeya Leo Septemba 29,2020 akiwa njiani kuelekea Mjini Mbeya.
Picha mbalimbali zikionesha baadhi ya Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi ili kumlaki Mgombea Urais kupitia CCM Rais Dk John Pombe Magufu katika Eneo la Igawa wilayani Mbarali mkoani Mbeya