Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tabora kwenye mkutano wa kampeni leo Jumatatu Septemba 21, 2020. katika uwanja wa Uwanja wa Alli Hassan Mwinyi
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Tabora mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya kuwahutubia katika Mikutano ya Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020.
Chopa ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM ikipiga Salute kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
PICHA NA IKULU