RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mama Maryam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais Wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi, walipowasili katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhurua Taarab maalum ilioandaliwa na CCM kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe. Dk. Hussein Mwimyi, Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea Urais Mama Maryam Mwinyi, wakisoma ratiba ya hafla ya taarab maalum ilioandaliwa na Chama Cha Mapinduzi ,katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku
10/9/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke waMgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi , wakifuatilia taarab maalum ilioandaliwa na CCM Zanzibar ya kumpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi kwa kuteuliwa na Chama chake kugombea Urais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimtunza Msanii wa Kikundi cha Taarab cha Culture Musical Bi. Fatma Dawa Shehe wakati akiimba wimbo wa “Pongezi kwa Mgombea” katika hafla ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar ,na (kulia ) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo imefanyika jana 10-9-2020 usiku
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na (kulia ) Mke
wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi na
(kushoto) Mke wa Makamu wa Rais wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha
Suleiman Iddi, wakimtunza muimbaji wa Kikundi cha Culture Musical Bi.
Fatma Dawa Shehe, akiimba wimbo wa “Tumtunze Dk. Shein” wakati wa hafla
ya Taarab Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.
Hussein Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 10-9-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi,
wakipiga makofi kumpongeza msanii wa Kikundi cha Taarab cha Culture
Musical Bwa. Iddi Suwed, baada ya kumaliza wimbo wake wa “Kama Kupenda
ni Dhara” wakati wa hafla ya Taarab rasmin iliofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usime
10-9-2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi wakifurahia jambo wakati wa Taarab maalum ya
kumpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar CCM kwa kuteuliwa na Chama Chake
kugombea nafasi ya Urais, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana 10-9-2020 usiku
MSANII wa Kikundi cha Culture Musical Taarab Bwa, Iddi
Suwed akiimba moja ya nyimbo za Kikundi hicho wimbo wa “ Kama Kupenda
Dhara” wakati wa hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi,
iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)