Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 09,2020.