Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) kulia na Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa BOT, Vicky Msina kushoto na maofisa wengine kutoka Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, Bw. Lwaga Mwambande, na Bw.Innocent Mmari wakiwa katika banda la BOT kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa TANTRADE yanayoendelea viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo
Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) kulia na Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa BOT, Vicky Msina kushoto wakitoa maelezo kwa wageni waliotembelea katika banda hilo.
Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano wa BOT, Vicky Msinaakitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi walitembelea katika banda hilo.
Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya maofisa waBenki Kuu kutoka idara mbalimbali wakitoa huduma ya kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali wanaotembelea katika banda la BOT kwenye maonesho hayo.
Mkurugenzi wa Sera za Uchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Suleiman Misango akimsikliza mmoja wa maofisa wa Benki kuu wanaotoa elimu ya masuala mbalimbali kuhusu benki kuu katika banda hilo.