Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Patrick Simon akimkabidhi jezi namba 19 mshambuliaji Mpya kutoka Mghana, Michael Sarpong baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kutoka Rayon Sports ya Rwanda,Jezi hiyo imeshawahi kuvaliwa na Herieth Makambo.
MICHAEL SARPONG ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI NA YANGA
By Alex Sonna
August 23, 2020 | 9:19 am

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
DOUMBIA AANZA KWA KISHINDO, AFUNGA MAWILI DHIDI YA 15 DE AGOSTO
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameanza vizuri kampeni ya kutinga hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa 15 de Agosto…
Michezo
4 days ago
SIMBA KUWASHA BIG SCREEN, BURUDANI NA UCHAMBUZI WA KARIAKOO DERBY
Ahmed Ally amesema kuwa Simba SC imejipanga kuandaa tukio la kutazama mchezo wa kimataifa kupitia skrini kubwa ya kisasa (Big Screen), akieleza kuwa klabu…
