Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa(NEC), imemteua Abdallah Dadi Chikota kugombea ubunge Jimbo la Nanyamba katika Uchaguzi mkuu mwaka huu.