Mgombea wa Urais ,Hashim Rungwe akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,Hashim Rungwe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma
Mgombea Mwenza kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mohammed Masoud akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma
Mgombea wa Urais ,Hashim Rungwe akiwa na Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu hizi katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.