Afisa Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge, Ndg. Patson Sobha akielezea historia ya Bunge kwa wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School walipotembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Afisa Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge, Ndg. Patson Sobha akielezea kazi ya siwa (mace) Bungeni kwa wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School walipotembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Afisa Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge, Ndg. Patson Sobha akitoa ufafanuzi kuhusu joho la Spika, Wenyeviti wa Bunge na Makatibu Mezani kwa wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School walipotembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School watembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Walimu na wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)