RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4/8/2020.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza maswali wakati alipokuwa akitembelea banda la maonesho la Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar Dk. Kassim Gharib.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Bahari wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Said Mwalim akitowa maelezo ya aina ya mishipi wanayotumia katika uvuvi wa Bahari Kuu, wakati akitembelea maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanj vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,(kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Zahran Kassim El- Kharousy.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Kilimo JKU Kanali Jabir Saleh Simba, wakati akitembelera maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (kulia kwa Rais) Kaimu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Ufundi Wakala wa Serikali Huduma za Matreka na Kilimo Zanzibar Ndg. Mohammed Omar Mohammed na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasiliu Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala Mabodi.(Picha na Ikulu)