Mkurugenzi Msaidizi wa Miundombinu ya Michezo Alex Nkenyenge akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe weakati waziri huyo alipotembelea uwanja wa ndani wa Taifa kujionea maandalizi ya ukarabati wa uwanja huo mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akikagua maandalizi ya ukarabati wa uwanja wa Taifa wa ndani wakati alipotembelea uwanja huo mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Muonekano wa uwanja kabla ya ukarabati.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akikagua maandalizi ya ukarabati wa uwanja wa Taifa wa ndani wakati alipotembelea uwanja huo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.