Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, (katikati)akitoa maagizo kwa Meneja wa kituo cha kuzalisha umeme cha Andoya,Mhandisi Jasper Bubelwa wa Kampuni ya Andoya, alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya Maji ya Mto Mtandazi, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020. Meneja wa kituo cha kuzalisha umeme cha Andoya,Jasper Bubelwa ,akimpa maelezo ya uzalishaji wa umeme katika kampuni hiyo, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja,(wa pili kulia) alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya Maji ya Mto Mtandazi, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020. Aina ya mita zinazotumiwa na wateja wa Umeme wa Andoya katika vijiji vitatu vilivyokaribu na mradi huo ambazo zinamruhusu mteja kutumia huduma ya umeme kabla ya kulipia. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, (kulia) akipata maelezo katika eneo la Bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi ya kampuni ya Andoya kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Alex Andoya(kushoto), alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika kampuni hiyo, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020.Wa pili kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Umeme, Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga na wapili kulia na Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni hiyo, Janeth Andoya.
Eneo la bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi la Kampuni ya Andoya, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika kampuni hiyo, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020.
Jiwe la msingi la Kampuni ya Andoya liliwekwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwa ajili ya kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja,alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika kampuni hiyo, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, (katikati) akipita kukagua mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi ya kampuni ya Andoya, alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika mradi huo, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, akiwasili katika eneo la bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Mtandazi la Kampuni ya Andoya, alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kuzalisha Umeme katika kampuni hiyo, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma, Agosti 01, 2020.Moja ya Nguzo za umeme zinazotumika kusambaza umeme unaozalishwa na Kampuni ya Andoya kwa wakazi wa vijiji vitatu vilivyo karibu na mradi huo.