Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kundi la 50 kwa jeshi la akiba wilaya ya Moshi vijijini ,Katibu tawala msaidizi Nathanieli Mshana akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo.
Baadhi ya Viongozi wa jeshi na askari wakiwa na mgeni rasmi katibu tawala msaidizi wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa mafunzo kwa vijana 111 na waliojiunga na jeshi la akiba.
Kiongozi wa Mafunzo kwa vijana waliojiunga na jeshi la akiba katika wilaya ya Moshi ,Kepteni Hansi Mwakanyamale akitoa taarifa kuhusu mafunzo ya kundi la 50 la askari wa jeshi la akiba katika wilaya ya Moshi vijijini.
Baadhi ya vijana kutoka tarafa ya Kibosho waliojiunga na jeshi la akiba wakiwa kwenye maandalizi ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
Vijana kutoka tarafa ya Kibosho wakiimba nyimbo mbalimbali wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa kundi hilo la 50 .
Na Dixon Busagaga ,Moshi
IDARA za serikali
zikiwemo Jeshi la Polisi ,Usalama wa Taifa ,Taasisi ya kuzia na kupambana na
Rushwa nchni (TAKUKURU) pamoja na Jeshi la zima moto na uokoaji zimetajwa
kuhusika katika mafunzo kwa kundi la 50 la vijana wanaojiunga na jeshi la akiba
katika wilaya ya Moshi.

Uzalendo ,Uzalendo,Uzalendo
ni maneno ambayo yamekuwa yakihubiriwa kwa kundi la vijana yakilenga kundi hili
kujitoa kwa ajili ya nchi yao kama inavyoonekana kwa vijana hawa waliojitolea
kujiunga na jeshi la akiba.

Vijana 111 kutoka
tarafa ya Kibosho katika wilaya ya Moshi miongoni mwao 97 wakiwa ni wanaume na
14 wakiwa ni wanawake wameanza mafunzo yatakayodumu kwa zaidi ya majuma 18 kama
anavyoeleleza Kepteni Hansi Mwakanyamale ,kiongozi wa mafunzo hayo.

“Vijana waliojitolea
kujiunga na jeshi la akiba ,mafunzo yataendeshwa kwa majuma 18,masomo watakayo jifunza
ni nadharia na vitendo yakiwemo masomo ya Kwata,Uraia ,Usomaji wa ramani ,Mbinu
za kivita ,ujanja wa porini,huduma za kwanza .silaha ,sharia za jeshi ,muundo
wa jeshi ,utimamu wa mwili ,uhandisi wa medani ,mapigano ya singe ,vita msituni
,uzalendo na usalama wa raia”alisema Kepteni Mwakanyamale.

Alisema mmani ya jeshi
la akiba wilaya ya Moshi ni kuhakikisha kwamba mkaazi wa wilaya hiyo
atakayehudhuria na kufaulu mafunzo hayo anakua ni tegemeo la nchi na kiusalama
kwa watanzania wote na kwamba anakua ni tegemeo la watanzania wengine ambao
hawajapata nafasi ya kufanya mafunzo hayo.

Kwa upande wake Mgeni
rasmi katika ufunguzi wa mafunzo hayo Katibu tawala msaidizi Nathanieli Mshana
alisema vijan hao wameonesha uzalendo kwa nchi yao na kwamba mafunzo haya
yatasaidia kuwajengea ukakamavu na ujasili mkubwa miongoni mwa vijana wengine .

Hili ni kundi la 50 la
vijana walioamua kujiunga na mafunzo katika jeshi la akiba katika wilaya ya
Moshi ,mafunzo ambayo yamekuwa msaada hasa kwa vijana kwa kuwajengea uzalendo
na ukakamavu.