Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi akitoa maelezo juu ya uchaguzi wa kura za maoni katika mkutano unaondelea wa kumchagua mwakilishi wa tiketi ya ubunge Jimbo la Mafinga mjini.
Baadhi ya wajumbe na watia Nia ya kura za maoni Jimbo la Mafinga mji katika picha