Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa soko la mbogamboga na matunda katika kijiji cha Namahema linalojengwa na serikali kwa ajili ya wakulima wadogowadogo wa bonde la Mnindu wilayani Ruangwa, Julai 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Asumini Milanzi (kulia) baada ya kukagua ujenzi wa soko la mbogamboga na matunda katika kijiji cha Namahema linalojengwa na serikali kwa ajili ya wakulima wadogowadogo wa bonde la Mnindu wilayani Ruangwa, Julai 18, 2020. Wa pili kushoto ni Mzee Abdallah Said na wa tatu kushoto ni Mwanahamis Mohamed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)