Katibu wa CCM Wilaya ya Manyoni Daflosa Lukasi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Manyoni Mashariki Masumbuko Mwaluko jana.
Masumbuko Mwaluko akihesabu fedha kwa ajili ya kulipia fomu za kuomba kugombea ubunge. Fomu za ubunge zinalipiwa Sh100,000. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Manyoni Daflosa Lukasi.
Katibu wa CCM Wilaya ya Manyoni Daflosa Lukasi akipokea fedha kutoka kwa Masumbuko Mwaluko ikiwa ni malipo ya gharama za fomu ya kugombea ubunge jimbo la Manyoni Mashariki.