Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Mkoa wa Kigoma kupitia CCM