Baadhi ya wawakilishi kutoka Wizara Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wakipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tano kutoka kwa Grace Chambua Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati iliyotolewa kwa mmoja wa shindano la Kitaifa wa shindano la Teknolojia ya ubunifu (makisatu 2020) lililofanyika Jijiji Dodoma mwezi machi mwaka huu uwanja wa Jamhuri.Vodacom walitoa sh milioni 20 kwa washindi wa ubunifu kwa shule za Msingi na Seondari
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,William Ole Nasha (kushoto) wakati wa hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu iliyofanyika jana Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo .
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua akizungumza kwenye hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa jana Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo uapnde wa wabunifu wa Shule za Msingi na Sekondari.
“This e-mail is sent on the Terms and Conditions that can be accessed by Clicking on this link https://webmail.vodacom.co.tz“