Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi waliyofika kupata huduma, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019, baada ya kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa hospitalini hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).