Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipoweka jiwe la msingi la upanuzi wa bandari ya Kasanga wilayani Kalambo, Julai 5, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino, Mhandisi Isack Kamwelwe na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe kabla ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa bandari ya Kasanga wilayani Kalambo, Julai 5, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (kulia) ni Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly baada ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa bandari ya Kasanga wilayani Kalambo, Julai 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)