Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri, wakati alipokuwa anawasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya kushiriki Kikao cha Kamati ya Madini ya Wilaya hiyo, leo. Kulia ni Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Obert Mwalyego. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, wakati alipowasili Wilayani humo kwa ajili ya kushiriki Kikao cha Kamati ya Madini ya Wilaya hiyo, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Mpwapwa, Obert Mwalyego, wakati alipowasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya kushiriki Kikao cha Kamati ya Madini ya Wilaya hiyo, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jabir Shekimweri. Kulia ni Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa Dodoma, Mchagwa Marwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Madini ya Wilaya ya Mpwapwa, kilichofanyika Wilayani hapo, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jabir Shekimweri. Kulia ni Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa Dodoma, Mchagwa Marwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.