Baharia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw.Iddi Khamis akimuelezea mteja kuhusu project ya taasisi ya sayansi za bahari Chuo hicho baada ya kutembelea banda la maonesho katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba Jijini Dr es Salaam.
Mkufunzi UDSM,Mhandisi Majili Killo akimueleza mteja namna kifaa tiba (Neonatal Incubator) kinavyofanya kazi baada ya kutembelea banda la maonesho katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba Jijini Dr es Salaam.Mtaalamu wa Maabara UDSM, Bw.Stakiwil Zuberi (Kulia) akimuonesha mteja moja ya bidhaa iliyotengenezwa na Chuo hicho na bidhaa kitakasa mikono (hand sanitizer) iliyotengenezwa na chuo hicho baada ya kutembelea banda la maonesho katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba Jijini Dr es Salaam. Mteja akijaribu kutumia kifaa kilichotengenezwa na vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya kutembelea banda la chuo hicho katika maonesho ya Sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Wateja wakifuatilia maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya kutembelea banda la chuo hicho katika maonesho ya sabasaba yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM