Aliyekuwa Diwani wa Viti Maalum CUF Temeke Bibi Hamisa Muharami (DEWA) akimkabidhi kadi yake ya CUF Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuamuwa kukihama Chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika Ziara ya Kichama Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam leo Juni 23,2020. kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)