Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 23 Juventus ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Bologna usiku wa jana Uwanja wa Renato Dall’Ara, bao la pili likifungwa na Paulo Dybala dakika ya 36. Kwa ushindi huo, Juventus inafikisha pointi 66 baada ya kucheza mechi 27 na kuendelea kuongoza Serie A kwa pointi nne zadi ya Lazio yenye mechi moja mkononi PICHA ZAIDI SOMA HAPA