Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wasaidizi wake leo 17/06/2020 jijini Dar es salaam, wakishiriki kwa njia ya mtandao (Video Conference ) mkutano wa Jumuiya ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa Nchi za Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO) unaojumuisha nchi 15 ikiwemo Tanzania katika mkutano wake wa kawaida wa kiutendaji ndani ya Jumuiya hiyo .