Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, aliyenyosha mkono kulia, akiuliza swali kwa Mpima Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya jiji la Dodoma, Mustapha Iyondo, wa kwanza kushoto aliyenyoosha mkono, wakati Katibu Mkuu Kadio, na ujumbe wake walipotembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi hilo uliofanyika jana jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa kwanza kulia, akiwa na Mpima Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya jiji la Dodoma, Mustapha Iyondo, katikati wakati akionyeshwa ramani ya Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kwa kupitia kifaa cha GPS, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ramadhani Kalima. Kiwanja hicho kinatarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi hilo uliofanyika jana jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa tatu kushoto, akitazama ramani ya nyumba za Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, zinazotarajiwa kujengwa katika Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, jijini Dodoma, baada ya Jeshi hilo, kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi hilo uliofanyika jana jijini Dodoma, wa kwanza kushoto ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa kwanza kulia, akitoa maelekezo kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi hilo, baada ya kumaliza kutembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi hilo uliofanyika jana jijini Dodoma.
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, aliyenyoosha mkono, akifafanua jambo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ramadhani Kailima, wakati Kadio na ujumbe wake, walipotembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi hilo uliofanyika jana jijini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.