‘Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimzikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara Mzee Philip Mangula kulia wakati alipokagua ukarabati wa Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion jijini Dodoma leo.