Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Talha Mohamed Waziri, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Dkt. Miraji Ukuti Ussi kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Lucas Aaron Mayanga kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Novemba, 2026.

Waheshimiwa Mabalozi pamoja na Wakuu wa Taasisi wakiapa Kiapo cha Maadili, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na viongozi mbalimbali baada ya kuwaapisha Mabalozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na Mhe. Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Dkt. Ngwaru Magembe, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye picha na Waheshimiwa Mabalozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Novemba, 2026.