Roboti zenye umbo la binadamu zameendelea kutoa mafunzo kazini katika mistari ya uainishaji na upangaji wa vifurushi huko Chengdu
Katika Kituo cha kampuni ya SF Express cha Changxing mjini Chengdu, roboti mbili zenye umbo la binadamu zimekamilisha usakinishaji na urekebishaji na ziko rasmi katika mafunzo kazini.
Chini ya maelekezo ya wahandisi, roboti hizo zinaweza kuainisha na kupanga vifurushi 1,200 kwa kila saa.
