Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu kuharakisha Mageuzi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini Tanzania, hususan shuleni na kwenye vituo vya afya, pembezoni mwa Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Mkutano huo uliofanyika ANFAŞ Antalya Expo Center, Uturuki, tarehe 11 Novemba, 2026, uliandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Sustainable Energy for All (SEforALL).

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu kuharakisha Mageuzi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini Tanzania, hususan shuleni na kwenye vituo vya afya, pembezoni mwa Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Mkutano huo uliofanyika ANFAŞ Antalya Expo Center, Uturuki, tarehe 11 Novemba, 2026, uliandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Sustainable Energy for All (SEforALL).