Baadhi ya watumishi wa Shirika la Maendeleo la Petrol Tanzania (TPDC) wakikabidhi hundi kwa Waziri wa Afya kwa ajili ya mapambano ya kukabiliana na COVIDI-19
Waziri Ummy Mwalimu akiongea mara baada ya kupokea msaada wa vifaa kinga,tiba na fedha kwa ajili ya mapambano ya kukabiliana na COVID-19 kutoka kwa wanachama wa sekta binafsi zipatazo kumi
Waziri Ummy Mwalimu akipokea mfano wa hundi wenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na vifaa kinga kutoka Anglogold Ashanti pamoja na Geita Gold Mining Limited(GGML)
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipokea mataki ya maji kutoka kwa Wamiliki wa Malori nchini ambayo yatapelekwa kwenye mipaka yote nchini.Kulia ni Mwenyekiti wa TPSF Bi.Angelina Ngalula
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Geofrey Simbeye akiongea wakati wa makabidhiano hayo ambapo alisema taasisi yao iko bega kwa bega na Serikali katika mapambano hayo
Mwakilishi wa chama cha wanamitindo nchini Mustafa Hassanali akiongea wakati wa kukabidhi vifaa kinga kutoka kwa wanamitindo mbalimbali nchini
Mwakilishi kutoka TBL Group Georgia Mutagahywa akiongea wakati akikabidhi vifaa kinga ambavyo vitatumika kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini
…………………………………………………………………………………