MBUNGE wa Jimbo la Sumve kwa titeki ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Ndassa, amefariki dunia mapema leo Jumatano, Aprili 29, 2020, Jijini Dodoma, taarifa za awali zinasema.
Ndasa mwenye umri wa miaka 61, aliugua ghafla alipokuwa anahudhuria vikao vya bunge.